HATIMAYE PAYET ATIMIZA LENGO, AREJEA UFARANSA KWA PAUNI MILIONI 25.



Kiungo Mfaransa Dimitri Payet amerejea kwao Ufaransa na kujiunga na klabu yake ya zamani ya Marseille.
Marseille imekubali kulipa pauni million 25 kwa West Ham ya England.




Awali, kiungo huyo alianza vituko ikiwa ni pamoja na kugoma kufanya mazoezi na wenzake.



Hali hiyo ilisababisha mashabiki kuanza kumshambulia ikiwa ni pamoja na kuchana picha zake wakisisitiza kuwa ni msaliti.
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment