WILFRED NDIDI AANZA KWA KICHAPO LEICESTER CITY.

WILFRED  NDIDI

Beki Mnigeria, Wilfred Ndidi ameianza Ligi Kuu England timu yake ya Leicester City inakutana na kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Chelsea.

Ndidi ametokea Genk ya Ubelgiji ambayo alikuwa akicheza pamoja na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta.

SAMATTA NA NDIDI

Genk imekuwa ikisifika kwa kuuza wachezaji kwenye timu mbalimbali kubwa za Ulaya. Maana yake kama Samatta ataendelea kufanya vizuri, kuna nafasi ya kufanya kuuzwa pia.

Kila la kheri Wilfred Ndidi.
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment