PAYET AMEKUWA ADUI NAMBA MOJA KWA MASHABIKI WA WEST HAM.




Mashabiki wa West Ham United, sasa hawataki kusikia jina Dimitri Payet ambaye alikuwa shujaa wao msimu uliopita.

Payet raia wa Ufaransa anataka kuondoka West Ham na inaelezwa huenda akarejea kwao Ufaransa na PSG ni moja ya timu zinazohusishwa kumtaka.

Ili apae nafasi hiyo, amegomea mazoezi. Jambo ambalo limewaudhi mashabiki ambao wamekuwa wakiweka alama ya X kwenye jezi zake.

Kama hiyo haitoshi, askari wamelazimika kufanya ulinzi kwenye picha zake uwanjani ili zisichanwe.




TAKWIMU ZAKE KATIKA TIMU MBALIMBALI ALIZOCHEZA.
 
AS Excelsior (2004-05): 36 games, 12 goals
 
Nantes (2005-07): 34 games, 5 goals
 
Saint-Etienne (2007-11): 148 games, 25 goals
 
Lille (2011-13): 94 games, 19 goals
 
Marseille (2013-15): 83 games, 15 goals
 
West Ham (2015-): 60 games, 15 goals

TOTAL: 454 games, 91 goals
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment