MAZOEZI YA MWISHO YA ARSENAL KABLA YA KUIVAA CHELSEA PALE DARAJANI, LEO


Arsenal iko dimbani ugenini Stamford Bridge dhidi ya vinara wa Ligi Kuu England, Chelsea.

Kocha Arsene Wenger mwenye adhabu ambaye atakaa jukwaani hii leo, tayari amemaliza maandalizi ya kikosi chake.

Wenger raia wa Ufaransa analazimika kukaa jukwaani kutokana na adhabu yake ya kutokaa kwenye benchi kwa mechi tatu kati ya nne baada ya kuonyesha ubabe wake kwa mwamuzi.




Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment