KWA MISIMU SITA ARSENAL IMEISHIA 16 BORA LIGI YA MABINGWA, DALILI HUU UTAKUWA MSIMU WA SABA

Mara ya mwisho Arsenal ilitinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika msimu wa 2005-06. Lakini mara ya mwisho kuvuka nje ya 16 Bora ya michuano hiyo yalikuwa msimu wa 2009-10.

Baada ya hapo, hatua ya 16 Bora imekuwa ni tatizo kubwa kwa Arsenal na kwa miaka sita mfululizo imekuwa ikiishia katika hatua hiyo.

Lakini baada ya kipigo cha mabao 5-1 dhidi ya Bayern Munich katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 
hatua ya 16 Bora, kuna uwezekano mkubwa kwa asilimia kubwa Arsenal itaishia katika hatua hiyo kwa msimu wa saba mfululizo!
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment