Simba Sc yathibitisha kufika kwa golikipa Dannie Aggyei kutoka nchini Ghana ambaye huenda akasajiliwa na klabu hio ili kuleta ushindani kwa golikipa wa sasa hivi Vicent Aghban.
Hayo yalithibitishwa na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara katika ukurasa wake wa Instagram akisema kuwa Hatimaye Dannie Aggey awasili nchini... Na niwaarifu tu hatumuachi Agban..tunaimarisha eneo muhimu uwanjani..
Usajili huo huenda ukakamilika siku ya jumatano kama mambo yataenda sawa kati ya Aggyei na Simba.
0 Maoni:
Post a Comment