Habari kubwa kutoka Ufaransa inawahusu
wachezaji wawili ambao sio Sanchez na Ozil wanaosubiriwa na mashabiki
wengi. Taarifa kutoka RMC Sports zinawahusu wachezaji Olivier Giroud na
Francis Coquelin ambao wote wamekubaliana na club yao kuongeza mikataba
mipya.
Giroud mwenye miaka 30 mkataba wake wa sasa ungeisha mwaka 2018, RMC
Sport wametangaza kamba mchezaji hutu amekubali ku sign mkataba mpya
ambapo atabaki hadi mwaka 2019.
Kwa upande wa Francis Coquelin ambaye mkataba wake ungeisha mwaka
2019, sasa hivi ame saini mkataba ambao utamuweka ndani ya Arsenal hadi
2021.
Kwa sasa hizi ndizo habari za kuongeza mikataba kwa wachezaji wa
Arsenal tukiendelea kusubiria ya Ozil na Sanchez hatma yao ni ipi.
0 Maoni:
Post a Comment