Taswira zikimuonyesha Mario Balotelli
akiwa amevaa kofia ya Father Krismasi mara tu baada ya kuisidia Nice
kuitwanga Dijon na kuendelea kujishindilia kileleni mwa Ligi Kuu ya
Ufaransa.
Unaweza kujiuliza, he! Kumbe hata
Balotelli anaijua Krismasi? Maana ni mtukutu, unaweza kudhani hapati huo
muda. Lakini taswira hizi tatu zinaweza kukuthibitishia hilo. Hii ni
picha ya siku unayoweza kuanza nayo Krismasi.
0 Maoni:
Post a Comment