Basi
la klabu ya Simba aina ya Yu tong sasa lina muonekano mpya baada ya
wadhamini TBL kupitia Kilimanjaro kutoongeza mkataba mpya.
Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali. Je, una maoni kuhusiana na mwonekano wake?
HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
0 Maoni:
Post a Comment