SAKHO SASA ANUKIA CRYSTAL PALACE

SAKHO

BAADA YEYE NA KLOPP "KUSHINDWANA" Klabu ya Crystal Palace imeonyesha nia ya kumpata beki Mamadou Sakho.

Liverpool intake kulipwa pauni milioni 20 ili kumuachia beki huyo raia wa Ufaransa.

Sakho na Kocha Jurgen Kloop aria wa Ujerumani wanaonekana kutoelewana kabisa.


Wakati dirisha la usajili linakwenda ukingoni , inaonekana juhudi zinafanyika.
 
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment