PAYET AANZA KUKIPIGA UFARANSA MARSEILLE IKIIGARAGAZA LYON KWA 2-1


Kiungo mpya wa Marseille, Dimitri Payet ameingia katika mechi ambayo imeisha kwa kikosi chake kuisha kwa sare ya mabao 2-1.

Marseille imeitwanga Lyon kwa mabao 2-1 katika mechi ya michuano ya Coupe de France kwenye Uwanja wa Velodrome, usiku wa kuamkia leo.

Payet amejiunga na West Ham kwa dau la pauni million 25.





Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment