Bingwa wa mchezo wa kickboxer, Badr Hari, 32, amehukumiwa kwenda jela miaka miwili baada ya kupatikana na hatia ya shambulizi.
Hari
raia wa Morocco aliwahi kuhusishwa kuwa kwenye mahusiano ya tabia chafu
za kishoga dhidi ya mwanasoka bora duniani Cristiano Ronaldo
anayekipiga Real Madrid na ndiye nahodha wa timu ya taifa ya Ureno.
Huku
hiyo ya Hari imetoka nchini Uholanzi, hivyo atalazimika kutoka kwao
Morocco kwenda jijini Amsterdam kutumikia kifungo chake.
Hukumu
inasema hakutakuwa na rufaa hadi atakapotumikia kifungo kwa miezi sita
kwanza, baada ya hapo ndiyo mwanasheria wake anaweza kuifikisha rufaa
sehemu husika.
0 Maoni:
Post a Comment