JUMAMOSI MAN UNITED OLD TRAFFORD NA WBA!
EPL,
LIGI KUU ENGLAND, baada ya kukosekana kwa kupisha Mechi za Kimataifa sasa
inarejea kwa kishindo kuanzia Jumamosi na kisha Jumapili kwa Timu zote
20 kuingia Dimbani.
Timu hizo 20 zitarejea tena dimbani Jumanne na Jumatano.
Jumamosi fungua dimba ni huko Anfield ambako Mahasimu
Liverpool na Everton watavaana kwenye Dabi ya Merseyside ambacho ni
Kitongoji maarufu cha Jiji la Liverpool.
Mechi hiyo itafuatiwa na Mechi 6 zitakazoanza Saa 11
Jioni na baadhi yake ni Tottenham kuwa Ugenini kucheza na Burnley,
Vinara Chelsea wako Nyumbani kuikwaa Crystal Palace, Mabingwa Leicester
wako kwao kucheza na West Ham wakati Man United wako Nyumbani Old
Trafford kuivaa West Bromwich Albion.
Jumamosi itafungwa kwa Mechi ya Usiku kati ya Southampton na Bournemouth.
EPL itaendelea Jumapili kwa Mechi 2 na ya kwanza ni
Swansea City na Middlesbrough na kufuatiwa na hekaheka huko Emirates
kati ya Arsenal na Man City.
MSIMAMO WA EPL KWA SASA.
EPL – Ligi Kuu England Ratiba:
Jumamosi Aprili 1
1430 Liverpool v Everton
1700 Burnley v Tottenham Hotspur
1700 Chelsea v Crystal Palace
1700 Hull City v West Ham United
1700 Leicester City v Stoke City
1700 Manchester United v West Bromwich Albion
1700 Watford v Sunderland
1930 Southampton v Bournemouth
Jumapili Aprili 2
1530 Swansea City v Middlesbrough
1800 Arsenal v Manchester City
1530 Swansea City v Middlesbrough
1800 Arsenal v Manchester City
Jumanne Aprili 4
2145 Burnley v Stoke City
2145 Leicester City v Sunderland
2145 Watford v West Bromwich Albion
2200 Manchester United v Everton
2145 Burnley v Stoke City
2145 Leicester City v Sunderland
2145 Watford v West Bromwich Albion
2200 Manchester United v Everton
Jumatano Aprili 5
2145 Arsenal v West Ham United
2145 Hull City v Middlesbrough
2145 Southampton v Crystal Palace
2145 Swansea City v Tottenham Hotspur
2200 Chelsea v Manchester City
2200 Liverpool v Bournemouth
2145 Arsenal v West Ham United
2145 Hull City v Middlesbrough
2145 Southampton v Crystal Palace
2145 Swansea City v Tottenham Hotspur
2200 Chelsea v Manchester City
2200 Liverpool v Bournemouth
Jumamosi Aprili 8
1430 Tottenham Hotspur v Watford
1700 Manchester City v Hull City
1700 Middlesbrough v Burnley
1700 Stoke City v Liverpool
1700 West Bromwich Albion v Southampton
1700 West Ham United v Swansea City
1930 Bournemouth v Chelsea
1430 Tottenham Hotspur v Watford
1700 Manchester City v Hull City
1700 Middlesbrough v Burnley
1700 Stoke City v Liverpool
1700 West Bromwich Albion v Southampton
1700 West Ham United v Swansea City
1930 Bournemouth v Chelsea
Jumapili Aprili 9
1530 Sunderland v Manchester United
1800 Everton v Leicester City
1530 Sunderland v Manchester United
1800 Everton v Leicester City
Jumatatu Aprili 10
2200 Crystal Palace v Arsenal
2200 Crystal Palace v Arsenal
0 Maoni:
Post a Comment