Mashabiki wengi wa Arsenal huwa hawampendi mshambuliaje wao Oliver Giroud kutokana na kutokuwa makini akiwa karibu na lango la wapinzani. lakini jana ndiye aliyeiokoa Arsenal na kuchukua pointi tatu muhimu.
ARSENAL (4-2-3-1): Cech 6.5; Bellerin 7,
Gabriel 6.5, Koscielny 7, Gibbs 6.5 (Monreal 71, 6); Coquelin 6.5
(Ramsey 74, 6.5), Xhaka 7; Sanchez 7, Ozil 6.5, Iwobi 6.5 (Perez 71,
6,5); Giroud 7. Subs: Ospina, Holding, Elneny, Reine-Adelaide. Booked:
Giroud, Gibbs
Wenger: 7
WBA (4-5-1): Foster 8.5; Dawson 7.5,
McAuley 7.5, Evans 8, Nyom 7; Brunt 6.5, Fletcher 7, Yacob 7, Chadli 6.5
(McClean 62, 6), Phillips 6.5; Rondon 6.5 (Robson-Kanu 80, 6.5). Subs:
Olsson, Morrison, Gardner, Myhill, Galloway. Booked: Foster
Pulis: 6.5
Referee - Neil Swarbrick - 6.5
Att: 59,925
MAN OF THE MATCH: Foster
0 Maoni:
Post a Comment