MANENO YA MWISHO YA GOLIKIPA WA TIMU ILIYOPATA AJALI YA NDEGE

danilo

Golikipa wa Chapecoense Danilo aliyeokolewa kutoka kwenye ajali ya ndege iliyoanguka Medellin, https://www.kiungomshambuliaji.blogspot.comColombia alifariki baada ya kuvuja na kupoteza damu nyingi sana ndani na pia kuharibika viungo vyake.
Alifikishwa hospitali akiwa amevunjika miguu yote, mikono, mbavu tatu huku figo yake ikiwa imeharibika.
Inasemekana kabla ya kufariki alisema maneno haya: “Yesu itazame familia yangu kisha chukua uhai wangu haraka. Tayari baadhi ya rafiki zangu wananisubiri mbinguni, wanahitaji golikipa huko walipo.”
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment