Mario Balotelli haishi vituko, maana jumatano ya tarehe 21/12/2012 kalambwa kadi nyingine nyekundu nchini Ufaransa.
Sare ya bila mabao dhidi ya Bordeaux
imeifanya Nice kupanda kileleni mea Ligi Kuu Ufaransa. Lakini dakika za
majeruhi, Balotelli akalambwa kadi nyekundu.
Awali alianza vituko dhidi ya wachezaji
wa Bordeaux, lakini baadaye akanaswa baada ya kumkwatua mshambuliaji wa
timu hiyo kwa makusudi.
Wakati mwamuzi akimsogelea, Balotelli
alionyesha ishara ambayo ilimkera mwamuzi na baadaye kuna mane no kama
walizozana na akalambwa kadi nyekundu moja kwa moja.
Balotelli ndiyo alikuwa amerejea uwanjani mechi kadhaa baada ya kuwa nje muda kadhaa baada ya kulambwa tena kadi nyekundu.
0 Maoni:
Post a Comment