MUZAMIRU YASSIN |
VINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Simba, wamezidi kuyoyoma kileleni mwa Ligi hiyo baada ya jana kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaa kuifunga JKT Ruvu 1-0.
Bao hilo pekee la Simba lilifungwa na Muzamil Yassin kwenye Dakika ya 45 na kuipaisha kwa Pointi 4 mbele ya Timu ya Pili Yanga
Mbali ya Mechi hiyo, pia jana zilikiuwepo Mechi nyingine 5 za VPL kwa Timu za Kagera Sugar, Mtibwa Sugar na Mwadui kuibuka na ushindi huku Mechi 2 zikiwa ni Sare.
Mbeya City ilitoka 0-0 na Toto Africans huko Sokoine, Mbeya na kule Uwanja wa Majimaji Songea Majimaji FC kutoka 1-1 na Azam FC.
VPL itaendelea Jumatatu kwa Mechi moja huko Mabatini, Mlandizi kwa Ruvu Shooting kukipiga na Tanzania Prisons.
MATOKEO YA MECHI NYINGINE;
Ligi Kuu Vodacom
Jumamosi Desemba 24
Mbeya City 0 Toto Africans 0 [Sokoine, Mbeya]
Kagera Sugar 1 Stand United 0 [Kaitaba, Bukoba]
Ndanda FC 0 Mtibwa Sugar 2 [Nangwanda, Mtwara]
Simba 1 JKT Ruvu 0[Uhuru Stadium, Dar es Salaam]
Majimaji FC 1 Azam FC 1 [Majimaji, Songea]
Mwadui FC 1 Mbao FC 0 [Mwadui Complex, Mwadui]
*****************************************
RATIBA NYINGINE ZA VODACOM PREMIER LEAGUE KAMA IFUATAVYO;
Ligi Kuu Vodacom
Jumatatu Desemba 26
Ruvu Shooting v Tanzania Prisons [Mabatini, Mlandazi]
Jumatano Desemba 28
Yanga v Ndanda FC [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
Mtibwa Sugar v Majimaji FC [Manungu, Manungu]
Alhamisi Desemba 29
Ruvu Shooting v Simba
Azam FC v Tanzania Prisons [Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam]
Jumamosi Desemba 31
Mwadui FC v Kagera Sugar [Mwadui Complex, Mwadui]
African Lyon v JKT Ruvu [Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam]
Mbeya City v Mbao FC [Sokoine, Mbeya]
Jumapili Januari 1
Toto African v Stand United [CCM Kirumba, Mwanza]
0 Maoni:
Post a Comment