Hatimaye kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Oscar ameweka rekodi ya usajili nchini China.
Oscar raia wa Brazil, amejiunga na Shanghai SIPG kwa kitita cha pauni million 52.
Kiungo huyo anajiunga na kocha wake wa zamani Andre Villas-Boas aliyewahi kuinoa Chelsea.
TAKWIMU:
Mechi: 203
Mabao: 38
Makombe: Europa League (2012), League Cup (2015), Premier League (2015)
0 Maoni:
Post a Comment