Habari
zilizonifika hivi sasa ni kwamba Mrisho Ngassa alikuwa jijini Mbeya kwa ajili
ya mazungumzo na Mbeya City ambao wanataka kumpa mkataba wa miaka
miwili.
Taarifa za ndani zinasema kwamba Mrisho Ngassa ameshasaini na timu hiyo hivyo atakuwa anakipiga na timu hiyo. Ndada walitaka kumpa mkataba wa miezi
sita lakini wameshindwa kukubaliana kutokana na mambo ya maslahi.
Mrisho Ngassa aliwahi kupata mafanikio uwanjani alivyokua anacheza na
club ya Yanga na baadae kwenda kucheza nchini South Africa.
0 Maoni:
Post a Comment