Mshambuliaji
Amissi Tambwe wa Yanga alilambwa kadi ya njano baada ya kuifungia timu
yake bao katika mechi dhidi ya Ndanda juzi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini
Dar.
Tambwe
alikumbana na kadi hiyo baada ya kufunga bao safi kabisa, lakini wakati
anakwenda kushangilia akakirukia kibendera na kukipiga teke,
kikavunjika.
Diego
Costa wa Chelsea, naye ameendelea kukirukia kibendera kwa mara nyingine
baada ya kuifungia timu yake dhidi ya Stock City katika ushindi wa mabao
4-2.
Kibendera
alichokirukia Costa hakikuvunjika maana si cha Mchina. Lakini kile
alichokirukia Tambwe wakati Yanga iliposhinda 4-0. Mh! napata mashaka juu ya kibendela alichovunja TAMBWE..
0 Maoni:
Post a Comment