PSG WAKUBALIANA NA WOLFSBURG JUU YA JULIAN DRAXLER..



Tokeo la picha la DRAXLER IMAGE

Klabu ya PSG ya Ufaransa wamefikia makubaliano na upande wa Ujerumani kwa ajili ya uhumisho wa kiungo mshambuliaji wakati ujao wa uhamisho wa dirisha dogo la januari.
PSG wamefikia makubaliano na Wolfsburg kwa ajili ya kuhamisha Julian Draxler.

Draxler, 23, alisaini club ya Wolfsburg katika majira ya 2015 kutoka Schalke, kwa mkataba wa miaka mitano.

Jinsi PSG inaweza kujipanga na Julian Draxler

PSG, ambao wanajitahidi ndani ya msimu huu chini ya kocha mpya Unai Emery, sasa walikubaliana na mpango huo wa uhamisho wenye thamani ya €45.

Kwa upande wa Bundesliga utapokea pesa ya awali € 35m, pamoja na uwezekano wa pesa ya  ziada € 10m.

Kwa upande wa Premier League club ya Arsenal wamekuwa wanahusishwa na Draxler lakini yeye sasa yupo tayari kwenda Paris katika usajili wa dirisha dogo la Januari, ambapo atasaini mkataba wa kati ya miaka mitatu au minne.

Tokeo la picha la RICARDO RODRIGUES WOLFSBURG IMAGE
PSG pia ina nia ya kujaribu kumsajili mchezaji mwenzake na Draxler anaeitwa Ricardo Rodriguez, ambaye atakuwa mbadala wa muda mrefu wa Maxwell kwa ajili ya ushindani wa Layvin Kurzawa.
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment