MASHINDANO
ya Kombe la Mapinduzi ya kuenzi Mapinduzi tukufu ya Visiwa vya Zanzibar
na Pemba ambayo yalianza Juzi huko Amaan Stadium, Zanzibar kwa Mechi
moja ya Kundi A, Leo tena yapo dimbani kwa Mechi nyingine mbili za Kundi
A ambazo pia zitachezwa Uwanja wa Amaan.
Juzi Usiku, Timu pinzani huko Zanzibar zilipambana na Taifa Jang’ombe kuifunga Jang’ombe Boys 1-0.
Leo, Saa 10 Jioni ni KVZ na URA ya Uganda, ambao ndio Mabingwa Watetezi, na Usiku Saa 2 na Nusu ni Simba na Taifa Jang’ombe.
MAKUNDI YA MAPINDUZI CUP:
KUNDI A
-Simba
-Taifa Jang;ombe
-Jang’ombe Boys
-KVZ
-URA [Mabingwa Watetezi, Toka Uganda]
KUNDI B
-Yanga
-Azam FC
-Jamhuri
-Zimamoto
0 Maoni:
Post a Comment