CHELSEA YASHINDA 3 BILA YA DIEGO COSTA'

Tokeo la picha la chelsea vs leicester city image

kiungomshambuliaji inakuletea hii; CHELSEA, wakicheza bila Mfungaji wao mkuu Diego Costa, wamepaa Pointi 7 juu kileleni mwa EPL, Ligi Kuu England, baada Jana kuwafunga Mabingwa Watetezi Leicester City 3-0 huko King Power Stadium.

Costa ambae anadaiwa kufarakana na Timu ya Madaktari wa Viungo wa Timu hiyo kuhusu madai ya kuumia huku kukiwepo na ripoti za kushinikiza kuhamia China alitemwa kabisa kwenye Kikosi cha Chelsea cha Mechi hii.

Jana Chelsea ilipiga Bao zake 3 kupitia Marcos Alonso, Bao 2, na Pedro. Usjindi huo umewaweka Chelsea kileleni wakiwa na Pointi 52 kwa Mechi 21 wakifuata Tottenham wenye Pointi 45 kwa Mechi 21.

VIKOSI VILIVYOANZA:

Leicester (Mfumo 3-5-2): Schmeichel; Morgan, Huth, Fuchs; Albrighton, Drinkwater, Ndidi, Mendy, Chilwell; Vardy, Musa
Akiba: King, Kapustka, Simpson, Okazaki, Zieler, Gray, Wasilewski

Chelsea (Mfumo 3-4-3): Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill; Moses, Kante, Matic, Alonso; Willian, Hazard, Pedro
Akiba: Begovic, Ivanovic, Fabregas, Zouma, Loftus-Cheek, Batshuayi, Chalobah
Tokeo la picha la Andre Marriner IMAGE
Andre Marriner

Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment