HENRY AHOFIA ALEXIS ATAJIUNGA NA VIDAL HUKO BAYERN MUNICH.

Henry: Alexis could join Vidal at Bayern
ALEXIS NA VIDAL
Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa Arsenal ameingiwa na hofu ya kwamba kiungo mshambuliaji wa arsenal ALEXIS kwamba anaweza kujiunga na klabu ya bundasiliga.

SANCHEZ ameonesha nia ya kujiunga na BAYERN MUNICH ili kuungana na mchile mwenzake ARTUDOL VIDAL. Hii inathibitishwa kwa kuwa mpaka sasa Alexis bado hajasaini mkataba mpya na klabu yake ya Arsenal hali inayoonesha kuwa anaweza kuondoka katika klabu hiyo.

Mashabiki wa ARSENAL wanapenda kuona SANCHEZ akiendelea kukipiga ndani ya klabu yao lakini utata unakuja pale uongozi wa juu unashindwa kumpa mshahara mnono Alexis Sanchez.

Tokeo la picha la THIERY HENRY IMAGE

THIERY HENRY anasisitiza kuwa "Yeye kama shabiki wa Arsenal anapenda kumuona ALEXIS SANCHES akiendelea kukipiga ndani ya EMIRATES STADIUM kwa maisha yake yote ya soka sambamba na kiungo mwenzake MESUT OZIL.
Tokeo la picha la OZIL IMAGE
MESUT OZIL
 
 
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment