Mashabiki
wa Man United, wameiandikia barua klabu yao wakiitaka kuzungumza na
wadhamini wao, Adidas kuacha kumchanganya kiungo Paul Pogba.
Mashabiki
hao wamesisitiza kuwa Pogba amekuwa busy na kunyoa mitindo mipya ya
nywele kila wiki ili kumfanya awe gumzo na kuitangaza Adidas.
Adidas ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya vifaa vya michezo duniani, inamdhamini Pogba kama ilivyo kwa Man Unites.
Hivi
karibuni, Adidas imeelezwa kuwa ikifanya mipango ya kila aina kufanya
Pogba awe maarufu zaidi ili nayo iendelee kujitangaza zaidi.
0 Maoni:
Post a Comment