Klabu ya Mancheser United na Everton zimethibitisha kukamilika kwa uhamisho wa mchezaji Morgan Schneiderlin.
Schneiderlin ambaye alijiunga na Mancheser United akitokea Southampton
amejiunga na Everton kwa ada ya pauni mioioni 20 huku thamani yake
ikitarajiwa kuongeza hadi pauni ml. 24.
Ni habari nzuri kwa Everton chini ya kocha R. Koeman ambaye alimfundisha mchezaji huyo ndani ya Southampton.
0 Maoni:
Post a Comment