RATIBA YA AFCON HII HAPA NA MDA WA KUANZA KWA MECHI HIZO.

 Tokeo la picha la AFCON IMAGE
AFCON 2017

Ratiba
Saa za Bongo kwA MFUMO WA MASAA 24

Mechi za Makundi

Jumamosi Januari 14
Kundi A
1900 Gabon v Guinea-Bissau
2200 Burkina Faso v Cameroon

Jumapili Januari 15
Kundi B
1900 Algeria v Zimbabwe
2200 Tunisia v Senegal

Jumatatu Januari 16
Kundi C
1900 Ivory Coast v Togo
2200 Congo DR v Morocco

Jumanne Januari 17
Kundi D
1900 Ghana v Uganda
2200 Mali v Egypt
Jumatano Januari 18

Kundi A
1900 Gabon v Burkina Faso
2200 Cameroon v Guinea-Bissau

Alhamisi Januari 19
Kundi B
1900 Algeria v Tunisia
2200 Senegal v Zimbabwe

Ijumaa Januari 20
Kundi C
1900 Ivory Coast v Congo DR
2200 Morocco v Togo

Jumamosi Januari 21
Kundi D
1900 Ghana v Mali
2200 Egypt v Uganda

Jumapili Januari 22
Kundi A
2200 Cameroon v Gabon
2200 Guinea-Bissau v Burkina Faso

Jumatatu Januari 23
Kundi B
2200 Senegal v Algeria
2200 Zimbabwe v Tunisia

Jumanne Januari 24
Kundi C
2200 Morocco v­­ Ivory Coast
2200 Togo v Congo DR

Jumatano Januari 25
Kundi D
2200 Egypt v Ghana
2200 Uganda v Mali
Tokeo la picha la AFCON IMAGE

Robo Fainali
Jumamosi Januari 28
1900 Mshindi Kundi A v Mshindi wa 2 Kundi B
2200 Mshindi Kundi B v Mshindi wa 2 Kundi A
Jumapili Januari 29
1900 Mshindi Kundi C v Mshindi wa 2 Kundi D
2200 Mshindi Kundi D v Mshindi wa 2 Kundi C 

Nusu Fainali
Jumatano Februari 1
2200 Mshindi RF 1 v Mshindi RF 4

Alhamisi Februari 2
2200 Mshindi RF 2 v Mshindi RF 3

Mshindi wa 3
Jumamosi Februari 4
2200 Aliefungwa NF 1 v Aliefungwa NF 2

Fainali
Jumapili Februari 5
2200 Finalist 1 v Finalist 2

NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:

Egypt-Mara 7
Cameroon, Ghana-Mara 4
Nigeria-Mara 3
Congo DR-Mara 2
Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia; ZOTE HIZI ZIMECHUKUA Mara 1.

Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment