SIMBA WAPIGWA STOP MORO VPL

Tokeo la picha la MTIBWA VS SIMBA IMAGE

VINARA wa VPL, Ligi Kuu Vodacom, Simba jana wametoka 0-0 na Mtibwa Sugar huko Uwanja wa Jamhuri Jijini Morogoro na kufyekwa pengo lao na Timu ya Pili Yanga kuwa Pointi 2 tu.
 
Juzi Yanga, ambao ndio Mabingwa Watetezi wa VPL, walicheza Ugenini huko Uwanja wa Majimaji mjini Songea na kutoka na ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya Majimaji FC kwa Bao la mapema la Deus Kaseke na kuikaribia Simba wakiwa Pointi 1 tu nyuma yao lakini jana pengo hilo limekuwa 2 tu badala ya 4 walizotegemea Wadau wa Mtaa wa Msimbazi Jijini Dar.
 

VIKOSI:

MTIBWA SUGAR: Said Mohamed, Ally Shomary, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’, Henry Joseph, Salim Mbonde, Shaban Nditi, Haruna Chanongo, Ally Makarani, Rashid Mandawa, Jaffary Salum [Hussein Javu, 84’], Vicent Barnabas [Kevin Friday, 78’] 

SIMBA: Daniel Agyei, Hamadi Juma, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Method Mwanjali, Abdi Banda, Jonas Mkude, Shiza Kichuya [Jamal Mnyate, 82’], James Kotei, Juma Luizio, Laudit Mavugo [Ibrahim Hajib, 54’], Mwinyi Kazimoto [Pastory Athanas, 75]

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA.

VPL-JAN18A
 
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment