TIMU ZA NYUMBANI ZASHINDA VPL

Tokeo la picha la vodacom premier league
VPL, Ligi Kuu Vodacom, iliendelea jana kwenye Viwanja Viwili na kushuhudia Timu za Nyumbani zote zikishinda 2-0.
 
Huko Shinyanga, Stand United imewacharaza wenzao wa Mkoa huo Mwadui FC Bao 2-0 kwa Bao za Jacob Massawe na Adeyum Salehe na kujikita Nafasi ya 6 wakati Mwadui wapo wa 10.
Tokeo la picha la stand united logo


Huko Kaitaba Mjini Bukoba, Kagera Suga imeifunga Ndanda FC 2-0 kwa Mabao ya Mbaraka Yusuph aliefunga zote.
Tokeo la picha la vodacom premier league

Ushindi huu umewaweka Kagera Sugar Nafasi ya 3 wakati Ndanda FC wakiwa wa 13.VPL inaendelea Jumapili hii kwa Mechi 1 huko CCM Kirumba, Mwanza kati ya Mbao FC na African Lyon.
 VPL-JAN14
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment