Kombe la mapinduzi linaendelea kuwa na mvuto zaidi kwani kila kukicha tunaona utofauti na maendeleo mazuri ya soka kwa vilabu vya Tanzania vinavyoshiriki kombe la mapinduzi. Hii ndio inayoleta mvuto katika kombe hili huku kila timu ikitaka ikacheze hatua inayofuata.
January 7, 2017 Azam ilitoa kipigo kikubwa kwa Yanga cha magoli 4-0
kwenye mchezo wa kukamilisha hatua ya makundi ya mashindano ya Mapinduzi
Cup.
0 Maoni:
Post a Comment