Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara inaendelea tena leo ambapo wanapaluhengo lipuli Fc Ya mkoani iringa inatarajiwa kuwakaribisha
ASHANIT united katika dimba la samora.
Leo Jumamosi, Lipuli ambayo imeshajihakikishia kupanda kucheza Ligi
kuu msimu ujao itaikaribisha Ashanti United kwenye Uwanja wa Samora mjini
Iringa baada ya mechi yao kusogezwa mbele kutokana na Ashanti kukwama njiani.
Lipuli tayari
wameshaingia katika ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/18 lakini bado
atahitaji kushinda katika michezo yake iliyobaki ili aweze kumaliza
msimu vizuri na kuweka rekodi ya kupanda daraja kwa alama nyingi.
0 Maoni:
Post a Comment