NYOTA YA WATANZANIA YAENDELEA KUNG'AA, KINDA MTANZANIA ASAJILIWA KLABU YA ETOILE DU SAHEL

Tokeo la picha la Yohana Mkomola IMAGE

Kupitia Mtandao wa millardayo.com umeripoti taarifa nzuri kwa soka la Bongo, ni kuhusu mtanzania Yohana Mkomola anayeichezea timu  ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys ambapo amethibitisha kupata dili la kwenda kuichezea club maarufu ya soka ya Etoile du Sahel ya Tunisia.

Mkomola ni moja ya hazina ya wachezaji wanaochipukia kwa kuwa na kiwango kizuri akiwa uwanjani, hivyo kwa wapenzi wa soka la Tanzania tuitunze hazina hii.

Tokeo la picha la Yohana Mkomola IMAGE
MKOMBOLA KUSHOTO AKIWA TUNISIA.
           

Mkomola aliitwa kwenda kufanya majaribio na timu hiyo amefuzu? mchongo aliupataje? anajibu Habari hizo ni kweli nilienda Etoile du Sahel kufanya majaribio katika timu yao kwa wiki mbili lakini nilifanya kwa wiki moja na nusu tu nikapata majibu kuwa nimefuzu.”

 “Walikuwa wananifatilia maana nilivyomaliza mechi na Congo meneja wangu akaniambia kuwa kuna barua imekuja natakiwa kwenda kufanya majaribio Etoile du Sahel ambapo nitajiunga na kikosi chao cha pili chini ya umri wa miaka 20″ – Yohana
 
KIUNGO MSHAMBULIAJI INAMTAKIA KILA LA KHERI YOHANA MKOMOLA.
Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment