SIMBA WAENDA KUWEKA KAMBI ZANZIBAR TAYARI KWA KUWAKABILI WATANI WAO YANGA FEB 25.


Wachezaji wa Simba wakiingia eneo la bandari kwenda kupanda boti ikiwa ni safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25. Mshambuliaji wa Kimataifa wa Burundi Laudit Mavugo akiwa anaongoza
 kuelekea eneo la kusubiria boti wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi 
 yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.

 
Wachezaji wa Simba wakiwa wanasubiri kukaguliwa tiketi getini wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25. 

Kocha wa Simba Joseph Omog akiongea na shabiki wa timu hiyo leo Jijini Dar es salaam wakati wa safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25.






Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment