AUBAMEYANG MATATA SANA, KAPIGA HAT TRICK NA KUWATUPA NJE WARENO.


Pierre-Emerick Aubameyang ni matata sana, maana jana amepiga hat trick na kuiwezesha Borussia Dortmund kuinyoosha Benfica ya Ureno kwa mabao 4-0.

Ushindi huo, jumla unakuwa 4-1 na Dortmund inasonga mbele hadi robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Aubameyang raia wa Gabon alifunga bao la kwanza, la tatu na nne huku la pili likitupiwa na Christian Pulisic.








Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment