Uefa Champions league
ni ligi ambayo ina mashabiki wengi saana ulimwenguni kote. Hivyo kuwa
na mashabiki wengi saana. Ligi hiyo imeendelea tena jana usiku kwa roundi ya pili ya mtoano.
Mabingwa hao wa hispania wameendeleza historia yao ya kupindua matokeo hasa katika marudio ya mechi ya pili. Barcelona ndio timu
inayoongoza kwa kupindua matokeo katika hatua ya pili ya mtoano.
Soma uthibitisho huo kama ifuatavyo kwa club ya BARCELONA;
MWAKA 2000
STAMFORD BRIDGE: CHELSEA 3 VS BARCELONA 1
CAMP NOU : BARCELONA 5 VS CHELSEA 1
MWAKA 2011
EMIRATES : ARSENAL 2 VS BARCELONA 1
CAMP NOU: BARCELONA 4 VS ARSENAL 1
MWAKA 2012
SANSILO : AC MILAN 3 VS BARCELONA 0
CAMP NOU: BARCELONA 4 VS AC MILAN 0
MWAKA 2017
PARIS : PSG 4 VS BARCELONA 0
CAMP NOU : BARCELONA 6 VS PSG1
HISTORIA INAENDELEA KUWEKWA NA VIGOGO HAWA WA HISPANIA.
0 Maoni:
Post a Comment