Kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil amepewa dau zuri na klabu yake ya Asernal ya pauni laki 280.000 kwa wiki ili kusaini mkataba
mpya.
Ozil amebakiwa na miezi 15 tu sasa ili kumaliza mkataba wake huku akiwa
hana haraka ya kutaka kuongeza mkataba na Asernal ikisemekana kuwa
anataka kuondoka klabuni hapo.
Zaidi ya hapo inasemekana pia anakataa kuongeza mkataba mpya akiwa anasubiri ofa nyingine huku Chelsea, PSG na Juventus wakihusishwa.
Zaidi ya hapo inasemekana pia anakataa kuongeza mkataba mpya akiwa anasubiri ofa nyingine huku Chelsea, PSG na Juventus wakihusishwa.
Ozil ndiye anayelipwa pesa nyingi klabuni hapo kwa sasa akiwa anapokea
pauni 140.000 kwa wiki ni miongoni kwa wale wanaoweza kuondoka mwishoni
mwa msimu akiwepo Alexis Sanchez na Oxlade Chamberlain.
0 Maoni:
Post a Comment