Uefa Champions league ni ligi ambayo ina mashabiki wengi saana ulimwenguni kote. Hivyo kuwa na mashabiki wengi saana. Ligi hiyo inaendelea tena leo usiku ambapo kutakuwa na timu kadhaa zikicheza katika roundi ya pili ya mtoano.
Kuelekea mechi ya leo kati ya Arsenal vs Bayern Munich, Barcelona ndio timu inayoongoza kwa kupindua matokeo katika hatua ya pili ya mtoano.
Soma uthibitisho huo kama ifuatavyo kwa club ya BARCELONA;
MWAKA 2000
STAMFORD BRIDGE: CHELSEA 3 VS BARCELONA 1
CAMP NOU : BARCELONA 5 VS CHELSEA 1
MWAKA 2011
EMIRATES : ARSENAL 2 VS BARCELONA 1
CAMP NOU: BARCELONA 4 VS ARSENAL 1
MWAKA 2012
SANSILO : AC MILAN 3 VS BARCELONA 0
CAMP NOU: BARCELONA 4 VS AC MILAN 0
MWAKA 2017
PARIS : PSG 4 VS BARCELONA 0
CAMP NOU : BARCELONA ??? VS PSG ????
Je mwaka huu itaweza kugeuza tena matokeo hapo kesho? nafikilia itakuwa BARCELONA 6 VS PSG 0.
SOMA HALAFU TOA MAONI YAKO.
0 Maoni:
Post a Comment