Katika
ligi zote 5 kubwa za Ulaya, Antoine Griezmann wa Atletico Madrid ndiye
anaongoza kwa kufunga mabao mengi kutoka pembeni. Amefunga 6.
Griezmann ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kupiga mashuti akitokea pembeni mwa uwanja.
Wengine
wamekuwa wakifanya hivyo kwa kiwango kikubwa ni Cristiano Ronaldo wa
Real Madrid, Lionel Messi wa Barcelona na Arjen Robben wa Bayern Munich.
0 Maoni:
Post a Comment