Katika kumbukumbu zako za mpira wa miguu Brazil ndiyo timu ya taifa ambayo imefuzu kucheza katika michuano ya Kombe la Dunia tokea mwaka 1930 ilipoanzishwa.
Licha ya kwamba ndiyo inayoongoza kwa kubeba makombe ya michuano hiyo, haijawahi kukosa hata mara moja.
0 Maoni:
Post a Comment