CHACHA |
Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wameshinda kesi yao ya tuhuma za rushwa.
Juma Matandika ambaye ni Msaidizi wa Rais wa TFF Jamal Malinzi, na Martin Chacha aliyekuwa mkurugenzi wao mashindano wa TFF.
walikua wanashtumiwa kuomba rushwa ya milioni 25 kwa viongozi wa timu ya Geita Gold Sports ameachiwa huru Leo.
Sauti zilizotolewa kuwa ni zao, zilisikika
zikieleza mipango ya kuisaidia Geita Gold Sports na ilitakiwa fedha kwa
ajili pia ya kuwapa viongozi wengine.
Ingawa wadau wengi wanaojua sauti zao waliamini ni wao kabisa, lakini Mahakama ya Mkazi Kisutu imetupilia mbali ushahidi wa sauti uliowasilishwa mahakamani hapo.
0 Maoni:
Post a Comment