Man United imefanya hafla ya kukabidhi
tuzo kwa wachezaji wake mbalimbali na Antonio Valencia ameibuka na kuwa
mchezaji bora wa mwaka akiwa bao nyota wengine akiwemo Zlatan
Ibrahimovic.
MCHEZAJI BORA WA MWAKA:
Antonio Valencia
BAO BORA LA MSIMU
Henrikh Mkhitaryan
🔺🔺
MCHEZAJI KIJANA BORA WA MWAKA
Angel Gomes
0 Maoni:
Post a Comment