WAJUE BAADHI YA MAKINDA HATARI EPL



 Tokeo la picha la epl logo
Mwaka mpya huo unakaribia. Na hii ina maana kuwa  usajili wa dirisha dogo nchini uingereza unakaribia kufunguliwa kwa timu mbalimbali kufanya usajili.
Mirror Football imeandika kuna vijana  wenye  vipaji ambao wanaweza kufanya 2017 kuwa ni mwaka wao, na kuwa na nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza cha klabu zao.
Mchezaji HAO chipukizi ni;
Domingos Quina
Tokeo la picha la domingos Quina image
DOMINGOS QUINA



Quina hivi karibuni alitajwa kwenye benchi la West Ham.
Club: West Ham
Nafasi: Kiungo
Umri: 17
Maoni kutoka kwa Slaven Bilic anavyohitimisha uwezo wa Domingos Quina ya kwamba.
"Yeye ni mmoja wa wachezaji hao ambao ni chipukizi na wenye kipaji kikubwa  na ambaye ana kila uwezo wa kupewa nafasi katika kikosi cha kwanza" Alisema Bilic baada Quina kusaini miaka mitatu West Ham mwezi Novemba.
West Ham ilimuona  Quina, 17, kutoka club ya Chelsea mwishoni mwa msimu uliopita baada ya yeye kuamua kuondoka Blues kutokana na hofu juu ya kukosa fursa za kikosi cha kwanza.

Quina pia alionyesha  uwezo wake kwa kufunga bao jasiri 40-yadi kwa West Ham chini ya 23s.
Bilic anaamini ana "kila kitu" anahitaji kufanya hivyo kwa ubunifu mkubwa kama Kiungo chipukizi wa West Ham United.
Jadon Sancho
Tokeo la picha la jadon sancho image
JADON  SANCHO

Club: Manchester City
Nafasi: Kiungo mshambuliaji.
Umri: 16
matarajio ya kinda huyu ni kuonesha  kipaji chake ndani ya Manchester City. Sancho ilinunuliwa kutoka Watford  akiwa na  umri wa miaka 14 kwa gharama ya  £ 500,000.
Mchezaji huyu anachezea uingereza katika timu ya chini ya miaka 17 katika ngazi ya kimataifa na amekuwa ni mchezaji mwenye kiwango cha hali ya juu. Sancho anafananishwa kuwa kama amezaliwa Brazil kwa kiwango chake kikubwa.
Sancho ameanza kufanya mazoezi na timu kubwa ya Manchester city ambapo matarajio yake katika mwaka mpya ujao kucheza kikosi cha kwanza cha Manchester City.

Harrison Chapman
Tokeo la picha la Harrison chapman image
HARRISON  CHAPMAN
 Chapman akiwajibika katika kikosi cha England chini ya miaka 20.

Club: Middlesbrough
Nafasi:Kiungo mshambuliaji.
Umri: 19


Boro bosi Aitor Karanka anaendelea kumuangalia kwa  jicho la karibu juu ya maendeleo ya Harrison Chapman na kwa sababu nzuri.
Kiungo huyu mwenye umri wa miaka 19 anachukuliwa moja ya vipaji bora miongoni mwa  umri wake.
Yeye amechaguliwa kama moja ya vipaji baada ya kuonyesha makeke yake kwenye  timu ya vijana ya kocha  Boro ya msimu uliopita kabla ya kujiunga na Barnsley katika mkopo.
Pia kiungo huyu anatazamwa kwa jicho la karibu saana na maskauti wa timu ya  Arsenal.
 
Andre Green
Tokeo la picha la andre green image
ANDRE  GREEN
Green alicheza kwenye kikosi cha Aston Villa mechi yake ya kwanza katika Ligi Kuu msimu uliopita.

Club: Aston Villa
Nafasi: Winga
Umri: 18
Wachezaji wengi  wenye uzoefu katika kucheza mechi saba ndogo - mbili katika Ligi Kuu, ikiwa ni pamoja mechi yake ya kwanza  ya ligi kuu Uingereza.
Lakini 2017 unaweza kuwa mwaka wa winga Andre Green kuanza kufanya jina lake kuanza kuonekana katika tasnia  ya soka ulimwenguni.
Green kwa sasa ana mawazo ya kucheza Villa lakini anatakiwa kuwa subira baada ya kuumia wakati bosi mpya Steve Bruce akimwambia asubiri ili apate uzoefu zaidi ili kupambana na misukosuko.
Lakini mlango unaweza kufunguka Januari wakati washambuliaji watatu wa aston Villa  wanaenda kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika.

Share on Google Plus

About KASSIM OMARY

HII NI BLOG AMBAYO ITAKUWA INAKUPA HABARI MOTOMOTO ZA KIMICHEZO NA HABARI KWA UJUMLA
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 Maoni:

Post a Comment