1. LIGI KUU
Yanga na
Azam wamekutana mara 18 Katika michezo 18 Yanga ameshida 5 na Azam
ameshida Mara 5 na wakitoa Sare Mara 8 kila timu imefunga magoli 25.
2. KAGAME CUP
Timu ya
Yanga na Azam zimekutana mara mbili (2) mwaka 2012 fainali ya kagame Cup
Yanga ilishinda magoli mawili Kwa moja, na mwaka 2015 robo fainali ya
kombe la kagame Azam walishida Kwa Penati tano Kwa tatu za Yanga kama
ifuatavyo
2012: Yanga 2-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen.3-5)
3. NGAO YA JAMII
Ngao ya Jamii ufunguzi wa ligi wamekutana mara 4 Yanga imeshida Mara tatu Huku Azam wakifanikiwa kushinda Mara moja.
2013: Yanga 1-0 Azam
2014: Yanga 3-0 Azam
2015: Yanga 0-0 Azam (pen.8-7)
2016: Yanga 2-2 Azam (pen.1-3)
4. MAPINDUZI CUP
Timu za
Yanga na Azam zimekutana mara 4 Katika kombe la Mapinduzi , Azam
amefanikiwa kushinda Mara Mbili Huku Yanga akishinda Mara Moja na
wametoa Sare Mara moja kama ifuatavyo
2011: Yanga 2-1 Azam
2012: Yanga 0-3 Azam
2016: Yanga 1-1 Azam
2017: Yanga 0-4 Azam
5. MECHI YA HISANI KUCHANGIA WALEMAVU
Mechi Hii
ilikuwa mwaka 2011 Yanga na Azam walikutana Kwa lengo la kuchangia
Walemavu Katika mchezo huo Azam ilishinda Kwa magoli mawili Kwa bila.
6. TFF ASFC
Mashindano
mapya ambayo yanajulikana kama Tff (Azam Sport Federation Cup) ikiwa
bingwa anashiriki kombe la shirikisho mwaka Jana 2016 Azam na Yanga
walikutana Fainali na Yanga walishinda Kwa magoli 3 Kwa moja.
WAFUNGAJI WANAOONGOZA AZAM NA YANGA
1. John Bocco:
-Mabao 13.
10=ligi kuu 10
2=mapinduzi Cup
1=Mechi ya hisani kuchangia walemavu
2. Kipre Tchetche
-Mabao 8
5=Ligi Kuu
3=Mapinduzi Cup
3. Didier Kavumbagu
-Mabao 5
4=Ligi Kuu ( ikiwa Yanga 3, Azam 1)
1=TFF Cup
4. Hamis Kiiza:
-Mabao 5
4=Ligi Kuu
1=Kagame Cup
5. Boniface Ambani
Mabao 4
4= ligi kuu
JUMLA WAMEKUTANA MARA 30
YANGA AMESHINDA MARA 11
AZAM AMESHINDA MARA 10
WAMETOA SARE MARA 9
YANGA IMEFUNGA MAGOLI 39
AZAM AMEFUNGA MAGOLI 38
MSIMAMO
Team P W D L F A GD
YANGA 30 11 9 10 39 38 1
AZAM 30 10 9 11 38 39 -1
Je record ip inaongezeka Leo ?
Yanga win
Azam win
Or Draw
0 Maoni:
Post a Comment